Category: Siasa
HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI
UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio…
Vigogo wa bilioni 300 wakalia kuti kavu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema vyombo vya dola vimeanza kuchunguza taarifa za kuwapo kwa zaidi ya Sh bilioni 300 zilizofichwa katika benki nchini Uswisi.
Pinda ameliambia Bunge kuwa Serikali imepata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari, na kwamba tayari wameanza uchunguzi na baadaye watatangaza matokeo.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia
Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini. Ushauri huo umetolewa na…
- Wanahabari Afrika watakiwa kuandika habari chanya kuhusu Bara la Afrika
- Dk Mpango atembelea banda la Gazeti la Jamhuri katika Mkutano wa Mabaraza Huru ya Habari Arusha
- Waziri Jafo afanya mazungumzo na wanachama wa CTI
- Dk Mpango aipongeza TANAPA kwa kuvitangaza vituo vya utalii ndani na nje
- Taifa kukamilisha mwelekeo wa Maendeleo, Dira ya 2025 kukamilika Julai 17, mwaka huu
Habari mpya
- Wanahabari Afrika watakiwa kuandika habari chanya kuhusu Bara la Afrika
- Dk Mpango atembelea banda la Gazeti la Jamhuri katika Mkutano wa Mabaraza Huru ya Habari Arusha
- Waziri Jafo afanya mazungumzo na wanachama wa CTI
- Dk Mpango aipongeza TANAPA kwa kuvitangaza vituo vya utalii ndani na nje
- Taifa kukamilisha mwelekeo wa Maendeleo, Dira ya 2025 kukamilika Julai 17, mwaka huu
- TCU yafungua dirisha la udahili kwa waombaji Shahada ya kwanza
- Madini, Bomba la Mafuta na bandari vyageuza Tanga kuwa kitovu cha maendeleo
- Wagombea mtegemeeni Mungu
- Mradi wa Sequip wapeleka neema Geita
- RC Sirro: Nitawapigia wahalifu walionibip
- TAWA yapokea tuzo kutoka Taasisi Foundation for disabilities hope
- Umri wa kunywa pombe kuongezwa Kenya hadi miaka 21
- Zitto : Ni haki yetu kikatiba kushiriki Uchaguzi Mkuu
- Rais Samia achangia milioni 50 ujenzi wa Kanisa Maswa
- Soma Gazeti la Jamhuri Julai 15 – 21, 2025