Category: Siasa
HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
DIRA YA WIZARA:
Kuwa na uhakika wa milki za ardhi, nyumba bora na makazi endelevu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
DHIMA:
Kuweka mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za ardhi, nyumba na makazi
Wapinzani wachekelea Pinda kugwaya
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kufarijika na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kampuni ya Agrisol haijapewa ardhi ya Katumba na Mishamo mkoani Katavi.
Sasa umefika wakati wa vitendo-Tibaijuka
[caption id="attachment_195" align="alignleft" width="160"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema kuanzia sasa inachofanya ni vitendo tu katika kukabiliana na wavunjifu wa sheria za ardhi, wakiwamo wavamizi wa maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa.
Tibaijuka anguruma
[caption id="attachment_191" align="alignleft" width="189"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]*Akomesha viji-zawadi vya wawekezaji
*Wananchi kumiliki hisa kwenye ardhi
*Kigamboni kujengwa kwa trilioni 16
HATIMAYE Serikali imeridhia kufanya mabadiliko makubwa kwenye umiliki wa ardhi kwa kuwabana wawekezaji wanaojitwalia ardhi kubwa kwa kutoa viji-zawadi vidogo vidogo kwa halmashauri, vijiji na wananchi.
Dozi ya Magufuli kwa viongozi wenzake
Suala la Dar es Salaam ni “very complex” na mimi nataka niwe muwazi na nataka nizungumze kwa ukweli. Ujenzi wa barabara za Dar es Salaam zina matatizo sana .
Bunge lawakomalia wapangaji NHC
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imepinga maombi ya wapangaji wa Shirika la Nyumba Taifa (NHC) ya kuuziwa nyumba wanamoishi.
Habari mpya
- NMB, DSE wazindua manunuzi, mauzo ya hisa kidijitali mkononi
- Waziri Mambo ya Nje wa Cyprus akamilisha ziara yake nchini
- Polisi watoa ufafanuzi madai ya ACT – Wazalendo
- Waziri Aweso: Tuna uhakika wa maji ya kutosha Dar na Pwani
- TAWIRI yawakaribisha wadau kufanya tafiti katika spishi muhimu ya Sokwe
- Tanzania ina umeme wa kutosha – Dk Biteko
- WanaCCM 153 Tabora wajitokeza kuwania ubunge
- Bondia Zugo kuwania ubingwa wa dunia Agosti 23
- Lindi yajivunia mchango wa NGOs katika maendeleo
- Dk Mpango ahutubia mkutano wa kimataifa wa mifumo ya Hifadhi ya Jamii
- Ubalozi wa Tanzania, Serikali ya Comoro kufanyia kazi ofa ya walimu wa Kiswahili ya Rais Samia
- Serikali yawekeza bilioni 17.8/- kuimarisha huduma uchunguzi wa kisayansi wa kimaabara
- Mbinu mpya wauza dawa za kulevya kutumia vifungashio vya mbolea vyabainika
- eGA yatumia Sabasaba kuelimisha umma kuhusu Mfumo wa e-Mrejesho, yajivunia Tuzo ya Kimataifa
- PURA yajivunia mafanikio katika Ajenda ya Nishati Safi na ushiriki wa Watanzania Sekta ya Mafuta na Gesi
Copyright 2024