Category: Siasa
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini. Ushauri huo umetolewa na…
Kashfa uporaji ardhi kubwa Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
[caption id="attachment_124" align="alignleft" width="160"]Waziri Mkuu Mizengo Pinda[/caption]Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Nyalandu anavyomhujumu Kagasheki
*Adaiwa kula njama wawekezaji wasilipe kodi
*Aendesha kikao bila Kagasheki kuwa na taarifa
*Bodi ya TANAPA yakataa mapendekezo yake
Mgogoro ulioripotiwa na Gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheni na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, sasa umechukua sura mpya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu, ameingia matatani tena baada ya kubainika kuwa anashinikiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) lisianze kutoza ‘concession fee’ katika hoteli za kitalii nchini, JAMHURI limebaini.
Uamuzi huo unaikosesha Serikali mapato yanayofikia Sh bilioni 17 kwa mwaka. Jaribio la kwanza la Nyalandu kufanikisha mpango wake liligonga mwamba kwenye kikao chake na menejimenti ya TANAPA, kilichofanyika Juni 8, mwaka huu mjini Moshi.
Pinda akunjua makucha rasmi
Serikali imesema kuanzia sasa watumishi wabadhirifu wa fedha za umma hawatahamishiwa vituo vingine vya kazi, bali watachunguzwa na ikibainika watafukuzwa kazi mara moja.
Katibu Mkuu Nishati amwagiwa sifa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, amemwagiwa sifa kwa jinsi alivyowabana watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kufanikisha upatikanaji wa mita 85,000 za umeme.
- Mmiliki kiwanda cha kutengeneza ndege Morogoro aongeza mkataba wa uwakilishi wa heshima
- Mradi wa Tactic kujenga barabara za lami KM 17 Manispaa ya Geita
- Matumizi ya nishati safi kupikia yapata msukumo mpya
- Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi Geita zaanza kwa kishindo
- Sakata la muuguzi na askari kuvutana Hospitali ya Kibondo, Serikaki yatoa ufafanuzi
Habari mpya
- Mmiliki kiwanda cha kutengeneza ndege Morogoro aongeza mkataba wa uwakilishi wa heshima
- Mradi wa Tactic kujenga barabara za lami KM 17 Manispaa ya Geita
- Matumizi ya nishati safi kupikia yapata msukumo mpya
- Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi Geita zaanza kwa kishindo
- Sakata la muuguzi na askari kuvutana Hospitali ya Kibondo, Serikaki yatoa ufafanuzi
- RC Makalla awatembelea viongozi wa dini
- Nyenzo ya utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Watoto imepatikana
- Tumekuja kusikiliza Ilani ya CCM hapa Bukombe – Geita
- Watu 1,000 wafariki katika maporomoko ya ardhi Sudan
- NIRC yaanza kuchimba visima 52 Tabora, wakulima sasa kujikita kilimo cha umwagiliaji
- Wizara ya Ardhi yapata tuzo kushriki kikamilifu mkutano wa TRAMPA 2025
- Msajili Hazina aipa tano TPA
- Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 2 – 8,2025
- Kafulila: Tanzania inaweza kufikia uchumi wa dola trilioni 1 endapo tutabadilika
- Maafisa mipango wafundwa kutekeleza majukumu kwa weledi