Category: Siasa
Nchimbi ndani ya Katoro, Geita awanadi wagombea
Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia wananchi wa kata ya Katoro , leo Jumamosi Septemba 6,2025 Wilaya ya Geita, Mkoani Geita . Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni mkoani…
Rais Samia aahidi kuifungua kiuchumi Dodoma, Moro na Songwe
*Kampeni zake zagusa maelfu ya wananchi Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kudhihirisha kwa vitendo namna ambavyo kinakubalika nchini ambapo maelfu ya wananchi wameendelea kujitokeza katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea kufanyika maeneo mbalimbali nchini. Hali hiyo ni…
Monalisa aiomba Ofisi ya Msajili wa vyama kuchukua hatua kali kwa ACT Wazalendo
Monalisa Joseph Ndala, mwanachama wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, leo 03 Septemba 2025, amewasilisha malalamiko rasmi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nikiiomba ichukue hatua kali na za kinidhamu kwa haraka dhidi ya chama changu kutokana na mwenendo wake wa…