Category: Siasa
Nape Nnauye : Rais Samia ni kiongozi jasiri aliyelivusha taifa kwenye Covid – 19
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye, amesema Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kiongozi jasiri aliyelivusha taifa katika…
Samia aacha kicheko Kilimanjaro, asisitiza amani
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media, Moshi Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kama atapewa ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha anajenga Kampasi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Akihutubia mamia maelfu…
CCM yabadilisha maisha Namonge
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imebadilisha maisha ya watu wa Kata ya Namongeย kwa kuleta miradi…
Dk Samia aahidi kujenga barabara za lami na zege Kilimanjaro
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuufungua Mkoa wa Kilimanjaro kwa kujenga barabara za viwango vya lami, zege na changarawe ili kukuza uchumi…
Kishindo cha mgombea urais Dk Samia chapokelewa Arusha
Upepo wa kasi umepita, vibes kama loote linasikika, nyomi la watu limefurika yoote ni katika mapokezi makubwa ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐…
Mpe kura yako Dk Samia ili tuendelee kunufaika na huduma bora za afya nchini
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป iwapo atapewa kura za kutosha na kupata ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano ijayo atadumisha na kuongeza juhudi za…





