Category: Siasa
TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NAIROBI
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), leo Ijumaa Januari 5, 2017 kwa mara ya kwanza tangu ajeruhiwe amezungumza na waaandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya anakopatiwa na kusema kilichotokea kwake kwa maoni yake ilikuwa ni mauaji ya kisiasa…
MZEE KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ATHUMANI MSENGI
Rais Mstaafu ya Awamu ya Nne Dr. Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga picha Mkuu wa Magazeti ya Serikali Athumani Hamisi katika maziko yaliyofanyika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni…
Tanzia: Mke wa Mzee Kingunge Afariki Dunia
MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kueleza kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake…
WAZIRI JAFFO AAGIZA UJENZI WA BARABARA INAYOELEKEA HOSPITALI YA BUGURUNI KUJENGWA
Ilala kuanza ujenzi wa barabara ya Buguruni kwa mnyamani ndani ya wiki moja kuanzia leo ili kuondoa kero kwa wananchi wa eneo hilo. Waziri Jaffo ametoa agizo hilo baada ya kufanya ukaguzi katika barabara hiyo inayoelekea katika hospitali ya Buguruni…
MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA
Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na askari polisi wamejitokeza kuuaga mwili wa mke wa Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola, Bi Marry Lugola Jijini Dar es salaam. Bi Marry Lugola ambaye…
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA KISHINDO MWANZA
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kulia akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Ndg:Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ccm Mkoa wa Mwanza. Mjumbe wa…