Category: Biashara
Uchumi unakua kwa kasi – Benki Kuu
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi pamoja na kuwapo changamoto zinazotokana na kudorora kwa hali ya uchumi wa dunia ambazo zimesababisha kuyumba kwa biashara na uwekezaji duniani. Katika toleo la hivi karibuni la…
Mapato yasaidia kudhibiti deni la ndani la Serikali
Deni la serikali la ndani lilipungua kwa mara ya kwanza mwaka jana katika kipindi cha miaka kumi kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani ambayo hivi sasa yamefikia Sh trilioni 1.6 kwa mwezi, JAMHURI limebaini. Takwimu mpya za…
Akiba ya chakula nchini yaporomoka
Shehena ya nafaka zinazohifadhiwa kwenye maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) imepungua sana miaka ya hivi karibuni na kwa karibu miaka minne mfululizo imekuwa chini ya tani 100,000, JAMHURI limebaini. Takwimu za hivi karibuni za taasisi…
Mikopo mingi yatumika kwa mahitaji binafsi
Fedha nyingi wanazokopa Watanzania kutoka vyanzo mbalimbali hutumika zaidi kukidhi mahitaji yao binafsi kuliko kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji na kununua rasilimali kama nyumba na ardhi, utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida moja la nchini Uingereza umebaini. Kwa mujibu wa…
Songas kuwekeza Sh bilioni 138 zaidi nchini
Kampuni ya kuchakata gesi asilia na kuzalisha umeme ya Songas inapanga kuongeza kiasi cha umeme inachozalisha nchini kwa asilimia 33 ili kuliwezesha taifa kuwa na nishati ya kutosha kwa ajili ya shughuli za kiuchumi, mkurugenzi mtendaji wake amesema. Kwa mujibu…
Barrick kupunguza wafanyakazi 110 North Mara
Baada ya kukamilisha zoezi la kuimiliki Kampuni ya Acacia Mining, Barrick Gold Corporation ya Canada imeanza kutekeleza mikakati mipya ya kuiendesha migodi iliyokuwa ikisimamiwa na kampuni hiyo, ukiwemo ule wa North Mara uliopo wilayani Tarime. Mikakati hiyo inayolenga kuongeza ufanisi…