JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mhagama asema Samia ameandika historia kumteua Nchimbi

Na Mwandishi Wetu,Jamhuri Media-Songea Waziri wa Afya na mgombea ubunge Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama amesema mgombea Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia ambayo haitafutika kizazi na kizazi kwa kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza. Amesema uteuzi huo ni…

Dk.Ndumbaro aomba ruzuku ya mbolea iendelee

Mgombea ubunge Jimbo la Songea Mjini, Dk.Damas Ndumbaro amemuomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan aendelea kutoa mbolea ya ruzuku Kwa wakulima. Amesema wakulima wanaomba ruzuku ya mbolea iendelee kwa sababu wameondokana na adha hiyo. Akizungimza…

CUF : Kupiga kura ndio njia pekee ya kumchagua kiongozi unayemtaka

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia  pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia…

Samia: Watanzania msikubali kuchokozeka

Na Kulwa Karedia Jamhuri Media, Pemba MGOMBEA urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi kutokubali kuchokozwa. Amesema wakichokozeka watahatarisha amani ya nchi kwa sababu ya uchaguzi jambo ambalo halina tija Dk. Samia ambaye pia ni Amiri…

Mbarawa Pemba inakwenda kufunga kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba Waziri wa Uchukuzi na mgombea ubunge Jimbo la Mkoani, Makame Mbarawa amesema uwanja wa ndege wa Pemba unajengwa na kuwa wa kimataifa. Mbarawa ametoa kauli hiyo septemba 20, 2025 alipopewa nafasi ya kusamilia maelfu ya…