Category: Kitaifa
Mkenda asema Rais Samia amepeleka bil. 8.9/- za maji Rombo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Moshi Mgombea ubunge Jimbo la Rombo, Profesa Adorf Mkenda amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 8.9 kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Chala. Ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya…
Othman Masoud: Sauti ya Mabadiliko na ushindi wa Zanzibar Oktoba 29
Meneja wa kampeni za Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, amewataka Wazanzibari kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 29 ili kumchagua Othman Masoud Othman, akisema huu ndio wakati wa kurejesha heshima, utu na thamani ya wananchi wa Zanzibar. Akizungumza…
Juma Duni Haji :ACT Wazalendo yashikilia nguvu ya ushindi Zanzibar
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema hakuna nguvu itakayoweza kuizuia ACT kutoshinda Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, hata kama uchaguzi huo ungefanyika kwa mwezi mzima na sio kwa siku mbili pekee….
Dira ya Zanzibar mpya itaongozwa na wananchi -Othman Masoud
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katika mchakato wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, jina la Othman Masoud Othman, Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, limezidi kushika kasi. Wananchi wengi wanamwona kama kiongozi mwenye maono ya kuibadilisha Zanzibar kuwa nchi ya wananchi…





