JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Utata wa taalamu wa kigeni kukamatwa

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kukinzana na kugongana kwa taratibu na sheria kati ya idara mbili nyeti za serikali kumesababisha wataalamu saba kutoka nje ya nchi kufikishwa mahakamani. Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia gazeti hili, wataalamu hao saba waliletwa…

Corona yaua 700 nchini

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona unaofahamika kwa jina la UVIKO-19, zikionyesha kuwa watu 719 wamekwisha kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo…

Walivyojipanga kuihujumu SGR

*Waibua hoja zilizokufa wakati wa Rais Magufuli, masilahi binafsi yatangulia *Mawaziri, makatibu wakuu wameelewa, watendaji wapingana na sheria ya ununuzi *Mkono wa Kenya watajwa katika vita ya biashara ya reli kubeba mizigo ya majirani *Yadaiwa kuna kampuni zimejipanga kushinda zabuni…

Waliofaulu vizuri wakataliwa Polisi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Vijana wanaotaka kujiunga na Jeshi la Polisi wamelalamika majina yao kuondolewa katika orodha kwa kile wanachokitaja kuwa ni baada ya kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza na la pili katika mitihani yao ya…

Lowassa amkingia kifua Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema anakerwa na baadhi ya wanasiasa wanaoeneza maneno ya chuki, kupalilia uhasama na kumtupia lawama zisizomhusu Rais Samia Suluhu Hassan. Kutokana na mwenendo huo, amewataka wajue kuwa wanashiriki…

Makamba na ‘uchungu wa mimba’ ya TANESCO

Waziri wa Nishati, January Makamba, Septemba 17, mwaka huu alizungumza na watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo, pamoja na mambo mengine, ilisukumwa zaidi na tatizo sugu la kukatika umeme nchini mara kwa mara…