Category: Kitaifa
Samia atema cheche Zbar
Na Kulwa Karedia,JamhuriMedia-Zanzibar Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amesema muungano wa Tanngayika na Zanzibar umeimarika zaidi tofauti na miaka yote. Amesema Muungano huo sasa na udugu wa damu, huku akiwanyo wale wote ambao wamejipanga…
Uyovu wamkubali Dk Samia, kumpigia kura nyingi Oktoba 29
Dkt. Biteko kuifanya Uyovu kuwa kitovu cha biashara Bukombe Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa mgombe Urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiwezesha Kata ya Uyovu kimaendeleo hivyo…
Ilani ya Uchaguzi CCM inagusa maisha ya watu, wataichagua
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya MAKAMU MMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Watanzania wataichagua CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuwa Ilani yake ya Uchaguzi inagusa maisha na maendeleo yao. Amesema hakuna chama…
Doyo: Nikichaguliwa kuwa rais majukumu ya kwanza ni kupitia upya mikataba ya madini
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo, ameendelea na ziara zake za kampeni zinazofanyika kwa mfumo wa kufikia na kuwafata wapiga kura popote walipo, kwa mtindo wa kampeni za kijiji kwa kijiji na kata kwa kata. Akiwa…
Dk Biteko amnadi Musukuma, asema amepigania maslahi ya wana-Geita
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma ni kiongozi…





