Category: Kitaifa
Uzembe wa Serikali wapoteza bil. 1.3/-
Uzembe wa serikali kushindwa kutangaza kwenye gazeti lake makubaliano na kampuni ya kigeni kuhusu msamaha wa kodi uliotolewa kwa kampuni hiyo umezua mzozo wa kodi inayozidi Sh bilioni 1.3. Mzozo huo unatokana na hatua ya serikali kuipa taasisi hiyo msamaha…
Mifuko mbadala isiyokuwa na ubora yaingizwa nchini
Wazalishaji wakubwa wa mifuko mbadala mkoani Kilimanjaro wameingiwa hofu ya kushindwa kufanya biashara yenye ushindani kutokana na wimbi kubwa la shehena ya mifuko hiyo isiyokuwa na ubora kuingizwa nchini kwa kasi kupitia njia za magendo na kuingizwa sokoni bila kulipiwa…
Matumizi simu miezi 6 yazidi Sh trilioni 2.5
Matumizi ya simu, hasa za mikononi kwa ajili ya mawasiliano yamezidi kuimarika huku kampuni zinazotoa huduma hiyo nchini zikitengeneza fedha nyingi na kuifanya biashara hiyo kuwa miongoni mwa zile zenye faida kubwa nchini. Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa katika kipindi cha…
Wanaswa uhujumu uchumi
Kikosi Kazi maalumu kilichoundwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kimebaini ukwepaji kodi unaokisiwa kufikia Sh bilioni 10 katika kampuni sita za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazojihusisha na sekta ya utalii nchini, JAMHURI linathibitisha. Kwa tuhuma hizo, wakurugenzi wa kampuni hiyo wanakabiliwa…
Agizo la Magufuli laacha kilio
Agizo la Rais John Magufuli kwa taasisi za serikali na mashirika ya umma kuhamisha ofisi zao kutoka kwenye majengo binafsi kwenda majengo ya serikali limewaacha baadhi ya wamiliki wa majengo katika maumivu baada ya taasisi hizo kuhama. Wakala wa Barabara…
Wafanyakazi wa Bora bado watanga na njia
Waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza viatu cha Bora ambao waliachishwa kazi mwaka 1991, wameibuka na madai ya kiasi cha Sh bilioni 45. Wafanyakazi hao wanaitaka serikali iwalipe kiasi hicho cha fedha ambacho kinajumuisha pia malipo ya muda wa kusubiria…