Category: Kitaifa
Serikali yaongeza vifaa tiba MOI
Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha magonjwa ya mifupa (MOI) kinatarajia kufungua maabara kubwa ya kisasa kwa ajili ya upasuaji wa mishipa ya ubongo. Kitaalamu maabara hiyo inafahamika kama ANGIO-SUITE, itakayogharimu Sh bilioni 7.9. Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk. Respicious…
TARURA yavijunia barabara Dar
Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam umeamua kuboresha viwango vya ubora wa barabara zake katika mitaa. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Mratibu wa TARURA Mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi George Tarimo, amesema wameamua…
Nani kuchomoka?
Uamuzi wa Rais John Magufuli, wa kuwataka Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) na Wakili Mkuu wa Serikali (SG) kupitia kesi za watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji ili kuwaachia huru walio tayari kurejesha fedha, umepokewa kwa shangwe kubwa…
Ada hewa zavuruga chuo Hai
Udanganyifu wa ada za wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai unaodaiwa kufanywa na mhasibu wa chuo hicho akishirikiana na mtunza fedha wa ELCT SACCOS umeigharimu Benki ya CRDB na SACCOS hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya,…
Marekani wathibitisha hakuna ebola
Wiki moja tangu serikali itoe tamko kwamba hakuna ugonjwa wa ebola hapa nchini, Shirika la Afya Duniani (WHO) na kitengo cha kupambana na magonjwa kutoka nchini Marekani (CDC), wamethibitisha kwamba hakuna mlipuko wa ugonjwa huo. Uthibitisho huo umekuja siku chache…
Ridhiwani matatani
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umemfurusha Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika nyumba ya serikali anayoishi jijini Dodoma, baada ya kushindwa kulipa kodi ya pango, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umethibitisha. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kwamba mbunge huyo alishindwa kukamilisha…