JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Hakuna Ebola, tuchukue hadhari – Serikali

Serikali imewaondoa wasiwasi wananchi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa ugonjwa wa Ebola nchini. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, ametoa ufafanuzi huo jijini Dar es Salaam kutokana na taarifa…

Adanganya apate hati ya kifo

Juliana Philipo, mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, amedanganya katika Kituo cha Polisi  Kigamboni ili asaidiwe kupata hati ya kifo cha ‘mumewe’. Aliwaambia polisi kwamba amepoteza kibali kilichotumika kusafirisha mwili wa mzazi mwenzake, Charles Reuben, aliyefariki dunia Julai 28,…

TRA Kilimanjaro kunadi magari

Magari tisa na pikipiki saba yaliyokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kilimanjaro yakisafirisha bidhaa za magendo kati ya Tanzania na Kenya yatauzwa kwa njia ya mnada baada ya serikali kuyataifisha. Miongoni mwa magari hayo limo linalodaiwa kumilikiwa na…

Ustawi wa Jamii yawalipia wagonjwa Muhimbili

Wagonjwa zaidi ya saba waliokuwa wanadaiwa bili za matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamesaidiwa kulipa bili hizo na Idara ya Ustawi wa Jamii. “Jamani ninawaombeni msaada, nisaidieni mimi ni mkulima wa mahindi na muuza mahindi ya kuchoma tu,…

Kisarawe imefanikiwa kudhibiti vifo

Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani imepunguza idadi ya vifo vya kina mama wajawazito kutoka vifo 9 hadi 1 kwa mwaka. Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kisarawe, Glason Mlamba, amesema mafanikio hayo yamepatikana baada ya kuona vifo vinaongezeka, wakaanza…

Mapito ya bosi mpya Usalama wa Taifa

Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) imempata bosi mpya, Diwani Athumani Msuya, ambaye wiki iliyopita aliteuliwa na kuapishwa na Rais John Magufuli kushika wadhifa wa Mkurugenzi Mkuu wa idara hiyo. Kabla ya uteuzi huo, Kamishna Msuya alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa…