JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

MTANZANIA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA MAREKANI

  MMOJA wa wataalam na watafiti wa magonjwa ya akili nchini, Profesa Slyvia Kaaya, ni miongoni mwa watu sita watakaotunukiwa shahada za heshima na Chuo Kikuu cha Dartmouth cha Marekani leo.   Prof. Kaaya, wa Chuo cha Sayansi ya Afya…

Jeshi la Zima Moto Yapewa Tuzo ya Heshima

JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji hapa nchini kutoka katika Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo.   Tuzo hiyo imepokelewa na Kamishna Jenerali wa…

Ridhiwani Kikwete Atoa neno Kifo cha Sum wa Ukweli

Kwenye ukurasa wake wa kijamii Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameonesha kuguswa na kifo cha Msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli,na  kushindwa kujizuia na kuandiaka maneno yafuatayo “Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa…

TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala.   Taarifa hiyo…

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.

WATANZANIA WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA

Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) Dennis David akimpima mkazi wa Jiji la Tanga Octaviani Moshiru kwenye banda lao  lililopo kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea maonyesho ya sita ya biashara ya kimataifaDaktari…