JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MICHANGO YA SHULE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hakuna michango yoyote itakayokusanywa kutoka kwa wazazi kwa ajili ya shule kama haina kibali cha Mkurugenzi wa Halmashuri.   “Mheshimiwa Rais wetu, Dkt. John Pombe Magufuli alishapiga marufuku michango ya aina hii na akatangaza mpango…

WAZIRI MKUU AWAONYA VIONGOZI WAPYA WA SHIRECU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wapya wa Chama Kikuu cha Ushirika Shinyanga wajipime kama wako tayari kuwatumikia wananchi na kama sivyo waachie ngazi.   Ametoa onyo hilo jana (Ijumaa, Julai 13, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa…

RAIS DK. MAGUFULI ATENGUA NA KUTEUA MKURUGENZI MKUU NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara kuanzia leo 14 July 14, 2018. Prof. Kahyarara atapangiwa kazi nyingine. Kufuatia hatua hiyo, Rais…

HABARI PICHA: Mke wa Kibonde azikwa Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam

  Jana  July 13, 2018 Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na mtangazaji Ephraim Kibonde wameuaga na kuuzika mwili wa marehemu Sara Kibonde ambaye ni mke wa mtangazaji Kibonde nyumbani kwake, Ubungo Kibangu na kisha baadae kuupumzisha mwili wake…

TAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam. Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule…

Mkanganyiko rangi za mapaa Dodoma

Uamuzi wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Dodoma wa kutofautisha kwa rangi mapaa ya nyumba kwenye kata zote 41 umepokewa na wananchi kwa mitazamo tofauti. Uamuzi huo ulifikiwa kwenye kikao cha robo ya pili ya mwaka, Januari, mwaka huu…