JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Saba Wafariki kwa kipindupindu Rukwa.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amethibitisha kufariki kwa wagonjwa saba wa kipindupindu katika Wilaya ya Sumbawanga huku wagonjwa wengine 44 wakibaki wodini kuendelea kupatiwa matibabu na wagonjwa 115 wakiruhusiwa kurudi nyumbani. Amesema kuwa ugonjwa huo umelipuka tarehe…

Uongozi siyo kazi ya rais peke yake

Juma lililopita Rais John Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam iliyoibua masuala kadhaa. Madhumuni ya ziara yalikuwa kuhakiki iwapo mafuta yaliyohifadhiwa kwenye matangi hapo bandarini yalikuwa ghafi au la, ili kubaini ushuru sahihi wa kulipia…

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amethibitisha

MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini  (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika  ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalinze wakiwa njiani kuelekea jijini Dodoma. Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani…

UVCCM Mkoa wa Dar Watakiwa Kusimamia Misingi ya Chama Chao

Katibu wa Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM)  mkoa wa Dar es Salaam amewataka vijana wa Jumuiya ya vijana mkoa wa Dar esSalaam kusimamia Misingi ya Jumuiya hiyo kwani ndiyo nguzo kuu ya chama inayozalisha viongozi mbalimbali wa Chama na serikali….

WADAU WA AFYA MOJA WAJIPANGA KUIOKOA TANZANIA NA MAGONJWA AMBUKIZI

Dunia imekumwa na tishio kubwa la magonjwa ya kuambukiza yanayoweza kusambaa kwa muda mfupi, kusababisha madhara makubwa kwa binadamu, mifugo, wanyama pori na kuleta uharibifu wa mazingira. Tafiti zinabainisha kuwa kila mwaka huibuka magonjwa ambukizi mapya kati ya matano hadi…