Category: Kitaifa
VIJANA WASHAURIWA KUWA WASHIRIKI WA MAENDELEO NA SIO WANAOYASUBIRI
MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Alvaro Rodriguez amewataka vijana wa Tanzania kuwa washiriki katika mipango ya maendeleo na sio kusubiri kufanyiwa. Aidha ameshauri vijana kuacha kuilalamikia serikali na jumuiya ya kimataifa kuhusu ajira na badala…
Mbunge wa CHADEMA amefariki
Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Kasuku Samson Bilago (CHADEMA) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha Marehemu Bilango alikua anakabiliwa na maradhi ya utumbo, ambapo alisafirishwa kwa…
Ajali ya barabarani Uganda yauwa 23, kujeruhi 25
Watu 23 wamefariki dunia na wengine 25 wamejeruhiwa kwa ajali mbaya basi iliyotokea wilaya ya Kiryandongo nchini Uganda. Polisi wamesema basi linalomilikiwa na kampuni ya Gaagaa bus liligonga trekta kwa nyuma na baada ya hapo, kupoteza muelekeo na kusababisha kugongana…
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TIRA
RAIS John Magufuli amemteua Bi. Khadija Issa Said kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Kusimamia Shughuli za Bima Tanzania (TIRA).
RC DKT. KEBWE AAGIZA WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI GAIRO WAKAMATWE
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipokea maelezo ya wizi wa pampu ya maji kutoka kwa mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe katika Kijiji cha Italagwe Kata ya Italagwe ili kuweza kuwalejeshea wanachi maji. Picha…





