Category: Kitaifa
SERIKALI YAKUSUDIA KUTAFUTA MBIA MWINGINE MRADI WA UDART
SERIKALI imesema inakusudia kuongeza mtoa huduma mwingine katika uendeshaji wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambayeataingiza mabasi yake na kutathmini ufanisi wa mbia wa sasa ili kuimarisha huduma ya usafiri Jijini Dar es salaam . Amesema iwapo itabainika kwamba mwendeshaji…
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatangaza Kupokea Maombi ya Mikopo kwa Wanafunzi
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda wa miezi miwili na kusisitiza kuwa maombi yote yatapokelewa kwa njia ya mtandao. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB…
Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu aachiwa huru
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiwa huru leo jijini Mbeya. Wawili hao walikuwa katika Gereza la Ruanda Jijini Mbeya walikokuwa wakitumikia kifungo cha miezi (5) baada ya kukutwa na…
Elimu ya kujitegemea … (3)
Hotuba ya Baba wa Taifa aliyoitoa March, 1967 Twajaribu Kujenga Taifa la Namna Gani? Maana yake neno hili ni kwamba mipango ya elimu katika Tanzania haina budi kutilia mkazo juhudi ya pamoja siyo maendeleo ya mtu mmoja binafsi. Elimu haina…
Adhabu ya kifo tuiache ilivyo
Nimemsikia hii hivi karibuni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, akielezea ugumu wa kubadilisha Sheria ya Ndoa ya 1971. Alitaja mila na desturi, dini, na itikadi kama masuala yanayosababisha ugumu wa kuleta mabadiliko katika sheria hiyo. Kwa kifupi,…





