Category: Kitaifa
UCHAGUZI KINONDONI MCHUANO MKALI KATI YA CCM YAONGOZA IKIFUATILIWA KWA KARIBU NA CHADEMA
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kinondoni yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Maulid Mtulia akiongoza katika baadhi ya vituo. Katika matokeo hayo, Mtulia anafuatiwa kwa karibu na mgombea wa Chadema,…
Aliyepigwa Risasi na Polisi ni Kumbe ni Mwanafunzi wa NIT
Aliuawa baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Chadema Dar es Salaam. Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam na kufariki dunia ni mwanafunzi wa chuo hicho….
MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA
Uongozi wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania ukitembelea bwawa linatumiwa kufundishia wanafunzi ufugaji wa samaki katika Chuo cha Kilimo, Mifugo na Maliasili (Canre), kilichopo Bonyokwa nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Anaye waongoza ni Mkuu wa Chuo hicho,…
PROF. MBARAWA AAHIDI KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/S Gemen Engineering & Mayanga, Mhandisi Andrew Nyamtori (kulia), alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Mara, linalounganisha Wilaya ya Tarime na Serengeti,…
RC MTAKA ASITISHA MALIPO YA SHILINGI BILIONI 1.9 KWA WAKANDARASI WALIOSHINDWA KUKAMILISHA MIRADI
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthoy Mtaka(kulia) akiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa huo na Wilaya ya Meatu wakiondoka eneo la mradi wa maji wa Itinje mara baada ya kukagua mradi huo wakati wa ziara yake ya kukagua…
MAFUNZO YA MSAADA HUDUMA ZA KISAIKOLOJIA KWA WAHUDUMU VITUO VYA HUDUMA,TIBA MWANZA YAFUNGWA
Mratibu wa Kudhibiti Ukimwi mkoa wa Mwanza Dk. Pius Masele amefunga mafunzo ya siku tano kuhusu msaada na huduma za kisaikolojia kwa wahudumu wa jamii wanaosaidia kazi katika vituo vya huduma na tiba kwa watu wanaoishi na Maambukizi…