Category: Kitaifa
Aua watoto wake kwa kuwachinja, adai bado hajamaliza kazi
Watoto mapacha Nyakato (mvulana) na Nyangoma (msichana) wakazi wa Kijiji cha Butahyaibeba wilayani Bukoba wenye umri kati ya miaka minne na mitano wameuawa kwa kuchinjwa na mtu aliyedaiwa kuwa ni baba yao mzazi usiku wa kuamkia jana. Mwenyekiti wa Kitongoji…
Waziri January Makamba Atoa Ushauri kwa wasanii na vijana maarufu
Ujumbe huu umeandikwa leo na Waziri January Makamba katika ukurasa wake wa Twitter ikiwa ni ushauri kwa wasanii na vijana maarufu. Ushauri huu umechukuliwa na wengi wa watumiaji wa mitandao ya Twitter na Instagram kama muhimu kwa wasanii hasa baada…
Vipaumbele vya Fatma Karume kama Rais wa TLS
Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha. Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa…
BASATA Yaingilia Kati Video Chafu ya Bilnasi na Nandy
Serikali imeanza mchakato wa kumchukulia hatua nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy baada ya kusambaa mtandaoni kwa video inayomuonesha akiwa na msanii mwenzake Bilnass katika faragha. Video hiyo iliyoanza kusambaa juzi katika mitandao ya kijamii, inawaonesha Nandy na Rapa…
KATIBU MKUU TARISHI AONGEA NA WATENDAJI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI CHA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Maimuna Tarishi akifuatilia kikao na Kikosi kazi cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi, leo mjini Dodoma tarehe 13 Aprili, 2018. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge)…
WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUJADILI JINSI YA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI
SERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani iliyotoa viwango vya chini vya fidia, lakini pia kuwawezesha waajiri kupata muda zaidi kushughulikia masuala…





