Category: Kitaifa
Wizara ya Maji Yaanza Kutekeleza Agizo la JPM Kwa Kasi
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua mitambo ya kusukuma maji katika eneo la Mailimbili mapema leo wakati wa ziara yake yakukagua namna Wizara hiyo kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma (DUWASA) itakavyofanikisha mradi wa…
MAPOKEZI YA VIFAA VYA MATIBABU ZAHANATI YA KOMKONGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela akizungumza na watumishi na wananchi wa Komkonga juu ya utunzaji wa vifaa hivyo na kupongeza uongozi wa Halmashuri kwa ujenzi wa maabara ndogo. Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe aki shukuru…
Demokrasia iliyotundikwa msalabani
Mwaka 2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa letu la Tanzania, niliandika makala nyingi katika gazeti hili la JAMHURI. Makala zangu zilikuwa zinakosoa mwenendo wa chama tawala (CCM). Sihitaji kusimulia kilichonitokea lakini inatosha kudokeza kiduchu: ‘Niliambulia vitisho vya kuondolewa uhai…
NEC itekeleze agizo la Waziri Mkuu
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutenda haki katika kutangaza washindi wakati wa uchaguzi. Majaliwa ameyasema hayo Alhamisi iliyopita mjini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Devotha…
TLS: Wampa kauli ngumu Rais Magufuli
Makala hii ni sehemu iliyokuwa imebaki wiki iliyopita katika risala iliyohaririwa ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Godwin Ngwilimi, katika maadhimisho ya siku ya Sheria nchini, Endelea………………. Majukumu hayo ni pamoja na kusimamia na kuboresha kiwango cha…
Lala Salama ya Ubunge kwa Chadema, CCM
Na Waandishi Wetu Vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisiasa nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) vinaingia wiki ya mwisho kwa kampeni za uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha…