Category: Kitaifa
CHADEMA : Mawakala wetu wamenyimwa viapo Kinondoni
Jana ilikuwa ndiyo siku ya kuwatambulisha na kuwaapisha mawakala kwa ajili ya Uchaguzi wa Marudio Jimbo la Kinondoni, Mawakala wa CHADEMA wamekataliwa kuapishwa. Awali tulibaini tatizo hilo Kata ya Hananasif ambapo Mtendaji wa Kata aitwae Richard Supu (0655998777), aligoma kuwaapisha…
RAIS MAGUFULI ASITISHA MPANGO WA KUWASAIDIA WAKIMBIZI
Tanzania inasema inajiondoa katika mpango wa Umoja wa mataifa wa kuwasaidia wakimbizi kuanza maisha mapya katika mataifa yanayowahifadhi. Tanzania limekuwa eneo salama kwa wakimbizi wengi na sasa inahifadhi zaidi ya wakimbizi 250,000 wa Burundi ambao walitoroka kwao ktutokana na matatizo…
Tambwe Hiza kuzikwa Leoa, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam
MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe’ aliyefariki dunia juzi asubuhi nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi katika Makaburi ya Temeke Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Kaka wa…
SHEREHE YA MWAKA MPYA YA MABALOZI WA TANZANIA ALIYOIANDAA RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa jioni Februari 9, 2018 kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao. Rais wa…
TUNDU LISSU: “LEMUTUZ HUSILAZIMISHE URAFIKI USIOKUWEPO”
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Singida Kaskazi, Tundu Lissu amemtolea povu Lemutuz. Tundu lissu alisema haya “Leo (Jana) nimeonyeshwa post iliyopo kwenye Instagram account ya William Malecela aka Lemutuz. Kwenye post yake, Lemutuz amedai kwamba mimi ni rafiki…