Category: Kitaifa
CCM, CUF, CHADEMA WASHINDANA KUTOA AHADI KWA WAPIGA KURA WAO
Ni vuta nikuvute. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kinachoendelea katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kinondoni na Siha kwa wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA kuchuana kuwania uwakilishi wa wananchi. Katika mikutano iliyofanyika jana kwenye maeneo tofauti, wagombea hao…
MBUNGE WA CHADEMA AKERWA NA BUNGE KUTOGHARAMIA MATIBABU YA TUNDU LISSU
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amehoji sababu za Bunge kutogharamia matibabu ya Tundu Lissu aliyepo nchini Ubelgiji tangu Januari 7, 2018 akipatiwa tiba ya mazoezi. Lema ametoa kauli hiyo Jana Februari 8, 2018 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia…
‘KIBAJAJI’ ALIVYOWASHA MOTO MAGOMENI AKIMNADI MTULIA
Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimnadi kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika…
KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akisalimiana na Uongozi wa Mamlaka ya maji Safi na usafi wa Mazingira mjini Dodoma (DUWASA) alipofanya ziara ya kutembelea Ofisi hizo mjini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais…
MPINA APANGUA HOJA ZA WABUNGE KUHUSU NAMNA WIZARA YAKE INAVYOPAMBANA KUTOKOMEZA UVUVI HARAMU NCHINI
Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina, Injinia Arcard Mutalemwa (Mwenye shati jeupe), kufanya tathmini ili kujua uwekezaji uliopo katika Ranchi za Taifa (NARCO) akikabidhi ripoti ya kazi hiyo jana kwa Waziri Mpina na…
MTULIA ATAJA KERO ATAKAYOANZA NAYO AKIWA MBUNGE
MGOMBEA ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdallah Mtulia ameendelea kuomba kura huku akiwaambi wananchi yeye hana tofauti na wao. Mbunge wa jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni jana jioni katika viwanja…