JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AMEFARIKI DUNIA

  TANZIA Mwanasiasa Tambwe Hizza amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Tambwe Hizza alikuwa katika timu ya waratibu wa kampeni za mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu.

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEKELEZA MWONGOZO WA HUDUMA KWA WATUMISHI WA UMMA WENYE ULEMAVU

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Bw. Abbas Mpunga kabla ya kumkabidhi Bajaji ili kumwezesha mtumishi huyo kutekeleza majukumu yake. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa…

POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA

KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya Chuma kumuita mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala na wasaidizi wake ili kupata ufafanuzi kuhusu mikopo wanayotoa. Amesema kuwa…

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU INAVYOBORESHA HUDUMA ZA ELIMU KUPITIA USHIRIKISHAJI WA NGUVU ZA WANANCHI

 Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga (kushoto) akiwa na wataalamu Afisa Mipango, Mang’era Mang’era na Afisa Elimu Msingi Wilaya, Sostenes Mbwilo wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Elimu Ufundi, Moshi Balele kuhusu hatua za ujenzi wa chumba cha…

WAVURUGA ELIMU KONDOA WAMKERA MKUU WA WILAYA

Mkuu wa Shule ya Sekondari Kwapakacha Mwalimu Pantaleo akisoma barua katika kikao cha wadau wa elimu iliyoandikwa na mwanafunzi wa kidato cha pili akielezea sababu za kutaka kuacha shule.   Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa akimwelekeza Mwalimu Mkuu wa…

JESHI LA ZIMAMOTO ARUSHA LAMUUNGA MKONO MAGUFULI

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Arusha limemkabidhi vifaa vya kuzimia moto (fire extenguisher’s) sita mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya nyumba…