Category: Kitaifa
TBA YATAKIWA KUHAKIKISHA MAENEO YAO YANA HATI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa wa Mtwara Edward Mwangasa, wakati alipokuwa akikagua nyumba zinazomilikiwa na Wakala huo, mkoani humo. Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa…
SERIAKLI YATOA NENO JUU YA KAULI YA TRUMP
Viongozi mbalimbali wa bara la Afrika na Umoja wa Mataifa wamekemea vikali kauli iliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu mataifa ya Afrika, Haiti na El Salvador alipokuwa katika kikao na wabunge wa nchi hiyo kilichofanyika White House. Katika…
BAVICHA:TUTAZUNGUKA NCHI NZIMA KUDAI UHURU WA KUJIELEZA
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limedhamiria kuzunguka nchi nzima kuwahamasisha vijana kudai uhuru wa kujieleza ambao wamedai haupo kwa sasa nchini. Hayo yalisemwa jana kwenye mkutano wa wanafunzi wanachama wa chama hicho wa Chuo Kikuu…
WAZIRI MKUU AUVUNJA MFUKO WA KUENDELEZA KAHAWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF) na amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuchunguza mwenendo wa mfuko huo tangu ulipoanzishwa. Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Januari 14, 2018)…
RC MNYETI KUWACHUKULIA HATUA WANASIASA WACHOCHEZI
Wananchi wa Kata ya Njoro Wilayani Kiteto, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akizungumza nao, juu ya kuwachukulia hatua kali wanasiasa wanaosababisha migogoro ya ardhi. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akizungumza kwenye Kata ya Njoro Wilayani…