JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

BAVICHA: WANAOJIUNGA NA CCM HAWANA FIKRA ZA KUSAIDIA TAIFA

BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema wimbi la kuhama kwa viongozi na wanachama wa chama hicho, unakipa nafasi ya kujirekebisha na kujipanga vizuri ikiwamo kubaki na wanaofuata misingi ya chama. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu…

RAIS SHEIN AWATUNUKIA NISHANI WATU 74 ZANZIBAR

      RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74. Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar ambayo imehudhuriwa na…

NECTA Yatoa Maagizo kwa Watahiniwa Binafsi wa QT na Kidato cha Nne

Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi novemba, 2018 kama watahiniwa wa kujitegemea kwamba: Kipindi cha usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kimeanza tarehe 1…

Mandhari ya Hospitali Anapotibiwa Tundu Lissu

Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, nchini Ubelgiji ambako Mbunge Tundu Lissu anaendelea na awamu ya tatu ya matibabu yake, baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma. Leuven ni moja ya hospitali mashuhuri barani Ulaya. Ilianzishwa mwaka 1080 na kuanza…

PAUL KAGEME KUWASILI NCHINI JUMAPILI, MAKONDA ANENA JAMBO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amefunguka na kusema uwezo mkubwa wa Rais Magufuli na Demokrasia ya kweli ni jambo ambalo linawavutia wageni kuja Tanzania akiwepo Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame anayetarajiwa kuwasili nchini Jumapili….

WAZIRI JAFO: WATAALAMU WA MAJI ZAIDI YA ELFU NNE WANAHITAJIKA TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo(Katikati) akiwasili kwenye Chuo cha Maji tayari kwa kutunuku Shahada na Stashahada katika mahafali ya Tisa ya Chuo hicho. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais…