Wasira Atoa Ya Moyoni Kifo cha Kingunge

 

Kada na mjumbe wa Mkutano Mkuu Wa CCM Steven Wasira amesikitishwa na kifo cha Kingunge Ngombale Mwiru  kwani kama Taifa alikuwa ni mtu muhimu wakati wote kutokana ushiriki na mchango wake katika nchi, akiwa ndani CCM alikuwa Kiongozi na msimamizi wa kutunga sera ndani ya chama ambazo zilikuwa zinatumika kwa kipindi chote.