Category: Kitaifa
Wabunge wa Chadema Warudishwa Tena Rumande
Morogoro. Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro pamoja na washtakiwa wengine 36 wamerejeshwa rumande. Mahakama iliyokuwa itoe uamuzi wa dhamana leo Jumanne Desemba 5,2017 imekwama kufanya hivyo kutokana na kuibuka hoja za kisheria….
Diallo: Serikali Hacheni Kuingilia Uchaguzi wa CCM
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, ambaye mwishoni mwa wiki alipekuliwa na maofisa wa Takukuru, ameitaka Serikali kutoingilia masuala ya uchaguzi wa chama hicho, badala yake iangalie na kuwaongoza wanapokosea. Diallo alitoa kauli hiyo juzi usiku wakati akiwashukuru…
Angalia Jinsi Ufisadi Ulivyofanyika Mazishi ya Mandela
Mazishi ya aliyekuwa rais wa zamani Afrika kusini ,Nelson Mandela yanadaiwa kukumbwa na ufisadi mkubwa ambao unadaiwa kutekelezwa na viongozi wakuu nchini humo. Mamlaka ya kupambana na rushwa nchini humo imebaini kuwa takriban dollar millioni 22 ilitumika vibaya wakati wa…
Majaliwa Awataka Wabunge wa EAC Kutumia Michezo Kuimarisha Ushirikiano
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wabunge wanaoshiriki mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wayatumie kuimarisha ushirikiano. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatatu, Desemba 4, 2017) wakati akifungua mechi ya mpira wa miguu iliyozikutanisha timu za Tanzania na Burundi…
Chama Cha Maofisa Uhusiano Chazinduliwa Dar
CHAMA Cha Maofisa Uhusiano wa Umma (PRST) kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, ambapo maudhui makubwa ya kuundwa kwa umoja huo ni kutambulika rasmi kama taasisi na kupanuana mawazo ya utumishi miongoni mwa wanachama, ikiwa ni pamaoja na kuendesha shughuli zao…
RC WANGABO: Wenye Madeni Lazima Wakatiwe Maji
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo ameiagiza Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (SUWASA) kuwakatia maji wateja wenye madeni sugu ili waweze kulipa madeni yao wanayodaiwa na taasisi mbalimbali za serikali nchini. Amesema kuwa uendeshaji…