JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Siri ya mauaji

M atukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa. Kwa…

Mafuta yanukia Zanzibar

Kazi ya uchambuzi wa taarifa za utafiti wa awali kuhusu rasilimali za mafuta na gesi asilia katika visiwa vya Zanzibar na bahari yake, imeanza huko Edinburg, nchini Uingereza, na inatarajiwa kukamilika baada ya mwezi mmoja. Uchambuzi wa taarifa za utafiti wa…

Vita yanukia

Hatari na wasiwasi uliokuwapo mwaka 2014 kwamba dunia ilikuwa na uwezekano wa kuingia katika Vita Kuu ya III ya Dunia, umerejea na wakati wowote dunia inaweza kuingia vitani. Pamoja na kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump, wakati wa kampeni alisema…

Utapeli wa ardhi Dodoma

Mjane miaka 84 alizwa, mabaraza ya ardhi yakithiri rushwa Lukuvi aombwa kutatua mgogoro Mkazi wa Kijiji cha Handali, Wilaya ya Dodoma Vijijini, Hilda Mzunde (84), amemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kuupatia ufumbuzi mgogoro wa…

Kilichomponza Nape

Duru za siasa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, zimeanza kutaja chanzo cha aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, kupoteza wadhifa huo. Vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa vumbi la Uchaguzi Mkuu la Mwaka 2015 bado linaendelea kutimka ndani…

Moyo, figo kunusuru maisha

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iko katika maandalizi ya mapendekezo ya muswada kwa ajili ya kupeleka bungeni ili liridhie na kupitisha sheria itakayoweza kuruhusu mtu kuandika wosia ili viungo vyake kutumika baada ya kufariki. Viungo hivyo ni pamoja…