Category: Kitaifa
Wananchi walilia sekondari yao
Wananchi wa Kata ya Makata, wameulaumu uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi kwa kutelekeza mradi wa ujenzi wa Sekondari ya Wasichana Makata ambao ulitakiwa kukamilika miaka mitano iliyopita, JAMHURI limebaini. Kukwama kwa mradi huo kumetokana na kupotea…
Wizi Tanzanite
Madini ya tanzanite yenye thamani ya mabilioni ya shilingi yanadaiwa kutoroshwa kutoka katika mgodi wa TanzaniteOne uliopo Mererani mkoani Manyara. Mgodi huo unamilikiwa kwa ubia na kampuni ya Sky Associates Limited na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Wakurugenzi wa…
Mbunge Mafia alia na Dk Machumu
Mbunge wa Mafia, Mbaraka Dau amesema Taasisi ya Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU) imekuwa ikiwaibia mapato halmashauri ya Mafia, yatokanayo na ada ya tozo la kiingilio kwenye maeneo iliyoyachukua kwa ajili ya shughuli za uhifadhi. Dau amesema taasisi…
Awadhi awatumia salamu madereva
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dar es Salaam, ACP Awadhi Haji amewataka askari wote wa Usalama barabarani katika Mkoa wake kusimamia maadili ya kazi hiyo na kuonya juu ya askari wanaoendelea kujihusisha na vitendo vya upokeaji rushwa….
Uhamiaji watoa pasipoti kinyemela
Idara ya Uhamiaji imeanza uchunguzi kuwapata watumishi wake walioshiriki kumpa hati ya kusafiria, Mkurugenzi wa shirika lisilo la serikali (NGO) la Pastoral Women Council (PWC), Maanda Ngoitiko, anayedaiwa kuwa ni raia wa Kenya. Shirika hilo linaloendesha shughuli zake Ngorongoro mkoani…
Madini moto
Serikali imetafuna mfupa mgumu ambao umepigiwa kelele na wananchi kwa muda mrefu, kwa kupeleka bungeni miswada wa marekebisho ya sheria kuwapa Watanzania haki ya kufaidi madini yao. Sheria zinazopendekezwa kurekebishwa ni; Sheria ya Madini, Sura ya 123(The Mining Act, Cap.123),…