Category: Kitaifa
Familia yailalamikia Mahakama Kuu Tanga
Mahakama Kuu kanda ya Tanga, inatuhumiwa na familia ya Ramadhan Athuman Mohamed, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kula njama na kusafirisha dawa za kulevya katika Basi la Tawakal, kuwa haikumtendea haki. Familia ya mfungwa huyo ambaye…
Fedha zatafunwa Chuo cha Mandela
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) iliyopo jijini Arusha, unajitahidi kufanya kila linalowezekana kuficha vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka katika chuo hicho. Hivi karibuni, uongozi huo umewasilisha serikalini kile kinachoonekana kuwa ni…
Kitwanga sikio la kufa
Mambo mapya yameibuka kuhusiana na kuvuliwa uwaziri kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, aliyevuliwa wadhifa huo Mei 20, 2016 baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa. Vyanzo vya habari vya uhakika vimeiambia JAMHURI kuwa…
Mbunge jangili
Wakati wabunge kadhaa wakijiandaa kukwamisha Bajeti ya Wizara ya Maliasiali na Utalii, imebainika kuwa miongoni mwao ni watuhumiwa wakuu wa ujangili. Wabunge hao wameunda umoja usio rasmi, kupinga kutekelezwa kwa Operesheni Taifisha Mifugo, iliyotangazwa na Serikali kupitia Waziri wa Maliasili…
Meneja Benki ya Ushirika K’njaro mikononi mwa Takukuru
Sakata la mikopo ya wajasiriamali 4,200 katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, limechukua sura mpya baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kumkamata na kumhoji Meneja Mkuu wa Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL), Elizabert Makwabe. Hatua…
JPM majaribuni
Sakata la sukari likiwa halijatulia, wafanyabiashara wakubwa wanatajwa kujipanga kumtikisa Rais John Magufuli, kwa kuhakikisha mafuta ya kula yanaadimika nchini. Tofauti na kwenye sukari, uhaba wa mafuta umepangwa mahsusi ili kujenga ushawishi wa wao kuendelea kuingiza mafuta ya kula ya…