Category: Kitaifa
Pori la Maswa lazidi kuvurugwa
Wakati uongozi wa Pori la Maswa mkoani Simiyu, ukituhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa wafugaji na kuwaruhusu waingize mifugo ndani ya pori hilo, watuhumiwa wawili wamekamatwa na kuachiwa katika mazingira ya kutatanisha. Uchunguzi uliifanywa na JAMHURI umebaini kuwa waliokamatwa na kuachiwa…
Mamilioni yaliwa Chuo cha Mandela
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) iliyopo jijini Arusha, unazidi kuandamwa na kashfa mbalimbali. Safari hii imebainika kuwapo matumizi makubwa ya fedha kwenye ujenzi, utoaji zabuni na ununuzi wa vifaa. JAMHURI imethibitishiwa kuwa ujenzi wa…
‘Miujiza’ nyumba ya Serikali Mbeya
Dalali wa Mahakama, Japhet Kandonga, ameuza nyumba ya Serikali namba 162, kiwanja namba 1103 iliyoko Kitalu ‘S’ eneo la Mafiati Jijini Mbeya kwa Sh milioni 250 kwa mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam, Saul Henry Amon, na kudai kwamba mnunuzi…
Forodha ya pamoja kukuza uchumi EAC – Nyamhanga
Serikali imejenga vituo vya kutoa huduma kwa pamoja mipakani (OSBPs) vinavyolenga kurahisisha taratibu za Forodha, Uhamiaji, usimamizi wa ubora wa bidhaa na huduma, ulinzi na usalama kwa watoa huduma hizo upande mmoja wa mpaka kwa nchi mbili husika. Katibu Mkuu…
Vigogo wagawana Tazara
Vigogo katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), wameuziana nyumba katika utaratibu ambao mmoja wao amenunua nyumba 18. Ofisa Masoko, George Makuke, ambaye kwa sasa amestaafu, amenunua nyumba 18 eneo la Idiga. Ofisa mwingine, Ezekiel Hosea, amenunua nyumba…
TAKUKURU yawachunguza TBL
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanya uchunguzi wa kina kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuthibitisha habari za kiuchunguzi zilizofanywa na gazeti hili la JAMHURI na kubaini kuwa TBL wanatumia udhaifu wa sheria kukwepa kodi nchini….