JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mchungaji amweka kinyumba kijana

Kituo cha Polisi cha Wazo Tegeta jijini Dar es Salaam katika Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kimeshutumiwa na wakazi wa eneo hilo kumlinda mhalifu anayedaiwa kumweka kinyumba mtoto wa kiume ambaye ni mwanafunzi (17). Kijana huyo (jina tunalo) anadaiwa kutekwa…

Bunge linavyoliwa

Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa wahusika kwenye ufisadi huo ni Naibu Katibu wa Bunge, Raphael Nombo; na Mkurugenzi Msaidizi wa Bunge (Utawala), Ndofi Merkion. Kiasi cha fedha wanachodaiwa vigogo hao ni Sh milioni 103 ambazo walilipwa kwa kigezo cha…

Meneja Pori la Mkungunero ashutumiwa

Meneja wa Pori la Akiba Mkungunero lililopo mkoani Dodoma, Johnson Msellah, anatuhumiwa kutumia vibaya madaraka yake pamoja na matumizi mabaya ya fedha za umma. Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Martin Loiboki, amezungumza na JAMHURI na…

Tazara yapata mkataba mnono DRC

Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imesaini mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya usafirishaji ya African Fossils Ltd, ya hapa nchini, kusafirisha petroli yenye lita za ujazo milioni 18 kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkataba…

Serikali kulipa fidia Mbarali

Serikali imetenga Sh milioni 362 kwa ajili ya kuwalipa fidia wananchi 973 Agosti mwaka huu ambao ni miongoni mwa waliopunjwa fidia zao wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya baada ya kuhamishwa katika vijiji  vyao kupisha upanuzi wa Hifadhi ya Taifa ya…

Waziri amhujumu Rais

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William ole Nasha, ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotuhumiwa kuihujumu Serikali kwa kuvujisha siri mbalimbali kwa raia wa kigeni. Tayari kuna taarifa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimepanga kumhoji juu ya ushirika…