JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Bunge tena!

Matukio ya ufisadi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yameendelea kuibuliwa, na safari hii yanahusu malipo ya Sh bilioni 6 kwa kampuni ya bima ya Jubilee. Malipo hayo kwa bima ya wabunge na familia zao yalianza kulipwa…

Mahakama yafanya kituko

Hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, imelalamikiwa na Festo Loya, ambaye alisimamiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye shauri la jinai namba 65/2015, lililomhusisha mtuhumiwa Petro Gembe. Akizungumza na JAMHURI, Loya anasema alipeleka shauri hilo mahakamani kutokana…

Kashfa Bunge

NA MANYERERE JACKTON   Tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo na ufisadi zimeanza kufichuliwa ndani ya uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwenye mlolongo huo, kumeibuka madai ya kuwajiriwa kwa watoto wa vigogo. Waziri mwanamke anatajwa…

DG aanza kazi Bandari

Baada ya gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za uchunguzi wiki iliyopita kuonyesha udanganyifu unaofanywa na baadhi ya maafisa wa Bandari ya Dar es Salaam, hali inayoipotezea mapato Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wiki moja tu, hali imebadilika. Bandari ya Dar…

Mkataba ‘tata’ Bima, Bakita

Mkataba wa mauziano ya nyumba kati Shirika la Bima la Taifa (NIC) na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), uliofanyika Oktoba 8, 2009 unadaiwa kuwa ni batili kwa kuwa taasisi iliyonunua haina uhalali kisheria. Mkataba huo unahusu nyumba zilizoko eneo…

Matumizi yazidi mapato serikalini

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli ikiwa na mikakati ya kupunguza matumizi ya fedha za umma yasiyokuwa na lazima kwa lengo la  kuwaletea wananchi maendeleo, kwa upande wake imeingia katika matumizi yanayozidi kiasi cha mapato…