Category: Kitaifa
Wanywaji wailalamikia TBL
Wananchi na watumiaji wa bia wamelalamikia hatua ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupandisha bei ya bia kabla hata bajeti ya Serikali haijapitishwa. Tangu Aprili 1, 2016 bei za bia zimepanda kutoka wastani wa Sh 2,300 na kufikia 2,500, huku…
Kigogo Uhamiaji aibeba TBL
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, ameibeba Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa kupuuza agizo la kufanya ukaguzi kwa wafanyakazi kiwandani hapo. Vyanzo vya habari vya uhakika kutoka idarani humo vimedokeza kuwa Uhamiaji…
Bandari yamliza mfanyakazi miaka 22
Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika kashfa nyingine baada ya kudaiwa kufanya makato makubwa kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi yasiyojulikana yanapelekwa wapi. Edrick Katano ni miongoni mwa wafanyakazi wengi waliokatwa makato yasiyo na maelezo. Kabla…
TBL maji shingoni
Wiki tatu tangu gazeti hili limeanza kuchapisha taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited (TBL) zinazomilikiwa kwa ubia kati ya Watanzania (38%) kupitia Soko la Hisa…
Polisi ‘waua’ mahabusu Moshi
Askari wa Kitengo cha Intelijensia katika Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, wanatuhumiwa kumpiga na kumuua ndani ya mahabusu, mtuhumiwa Virigili Ludovick Mosha (52). Moshi alikuwa mkazi wa Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini….