Category: Kitaifa
JamiiForums yawashitaki wasiotaka ufisadi uanikwe
Kampuni ya Jamii Media, inayoendesha mitandao ya JamiiForums.com na FikraPevu.com; hatimaye imeamua kutafuta haki mahakamani dhidi ya kile kinachoonekana kuwa ni matumizi mabaya ya Sheria ya Makosa ya Mtandao yanayolenga kudhoofisha vita dhidi ya ufisadi iliyotangazwa na Serikali ya Awamu…
January, Mwamvita wamjia juu Mzungu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano), January Makamba, ameibuka na kuzungumzia kwa undani kutohusika kwake na kashfa ya ‘udalali’ wa kutafuta wawekezaji wanaotafuta zabuni serikalini ikiwamo ya ujenzi wa Bandari mpya ya Bagamoyo. January amesema…
Madudu Usangu Logistics
Kampuni ya Usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi ya Usangu Logistics ya jijini Dar es Salaam imelalamikiwa kwa kuwanyanyasa wafanyakazi na kujihusisha na ukwepaji wa kodi kwa kutumia namba bandia za magari. Wafanyakazi wa kampuni hiyo, wanaodai kunyanyaswa…
Kwa Magufuli haponi mtu
Juzi Jumapili, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli alifanya mabadiliko ya ghafla kwa kumteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Taarifa hizo zilithibitishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu, Gerson Msigwa. Kabla ya…
Miaka 92 ya Rais Mugabe na ndoto za kuwa bondia
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema kwamba ana nguvu ambazo hata kama akipanda ulingo wa ndondi anaweza kumpiga mpinzani wake. Rais Mugabe, ambaye hivi karibuni alitimiza miaka 92, akiwa ni kiongozi pekee barani Afrika aliyekaa madarakani kwa muda mrefu, alikwishatoa…