Category: Kitaifa
Bandari yamliza mfanyakazi miaka 22
Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika kashfa nyingine baada ya kudaiwa kufanya makato makubwa kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi yasiyojulikana yanapelekwa wapi. Edrick Katano ni miongoni mwa wafanyakazi wengi waliokatwa makato yasiyo na maelezo. Kabla…
TBL maji shingoni
Wiki tatu tangu gazeti hili limeanza kuchapisha taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited (TBL) zinazomilikiwa kwa ubia kati ya Watanzania (38%) kupitia Soko la Hisa…
Polisi ‘waua’ mahabusu Moshi
Askari wa Kitengo cha Intelijensia katika Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, wanatuhumiwa kumpiga na kumuua ndani ya mahabusu, mtuhumiwa Virigili Ludovick Mosha (52). Moshi alikuwa mkazi wa Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini….
Kashfa mpya Bandari
Bandari ya Dar es Salaam imetumbukia tena katika kashfa, baada ya viongozi wake kutajwa kutumia kampuni wanayoimiliki kupata zabuni licha ya kutokuwa na sifa. Mgogoro mkubwa unafukuta bandarini hapo, kutokana na zabuni AE/016/2012/DSM/NC/01B ya kutoa huduma za kupakua na kupakia…
TFDA, NEMC wabanwa machinjio
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameomba Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Bodi ya Nyama kuchukua hatua ya kuzifunga machinjio zilizokithiri kwa uchafu jijini humo. Wameieleza JAMHURI kwamba kero…