Category: Kitaifa
Miaka 92 ya Rais Mugabe na ndoto za kuwa bondia
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema kwamba ana nguvu ambazo hata kama akipanda ulingo wa ndondi anaweza kumpiga mpinzani wake. Rais Mugabe, ambaye hivi karibuni alitimiza miaka 92, akiwa ni kiongozi pekee barani Afrika aliyekaa madarakani kwa muda mrefu, alikwishatoa…
JWTZ kuwakung’uta wahalifu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imelikaribisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye mapambano dhidi ya majambazi na wahalifu wengine. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ameikaribisha JWTZ ili itumie misitu na mapori…
‘Mahekalu’ Masaki, Oysterbay kuvunjwa
Serikali imeamua kufuatilia kwa kina wakazi wa Dar es Salaam wanaomiliki viwanja ambavyo kwenye ramani za mipango miji vinaoneshwa kuwa ni maeneo ya wazi. Maeneo ambayo Serikali inayamulika ni yale yenye hadhi, umaarufu na thamani kubwa yaliyopo Oysterbay, Masaki, Mikocheni,…
Mbarali ‘wafunikwa’ tena fidia ya makazi
Wananchi 3,113 wa Mbarali mkoani Mbeya, waliohamishwa katika vijiji vyao kupisha upanuzi wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na kupunjwa fidia za maeneo yao, wamesema Serikali imeendelea kuwahadaa kuhusu madai yao. Mwishoni mwa mwaka jana, Gazeti la JAMHURI liliripoti mgogoro…
Wabunge Tarime wajipanga
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa (CCM), ametangaza kuwapeleka bungeni Dodoma, madiwani wa Halmashauri ya Tarime Mjini katika ziara ya mafunzo. Hatua hiyo imekuja baada ya Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, kutangaza hivi karibuni kuwapeleka…