Category: Kitaifa
Uchumi unakuwa kwa matabaka
Wakati Rais John Magufuli akieleza kuwa uchumi wa nchi umekuwa kwa asilimia 7.9 hadi kufikia robo ya mwaka huu na kuifanya Tanzania kushika nafasi ya pili baada ya Ivory Coast, Mchumi Mwandamizi na Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 22
Barabara ya Bagamoyo balaa UCHAMBUZI WA KINA 453. Barabara za New Bagamoyo na Pugu-Chanika-Mbagala ndizo ambazo zimethibitika kuhusisha sana matatizo makubwa ya ukikwaji wa taratibu na maadili mema ya kazi. 454. New Bagamoyo Road (a) Urefu: Kilometa 13.4…
Katibu wa Nyerere ‘afa’ njaa
Paulo Sozigwa, aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa Katibu wa Rais Julius Kambarage Nyerere, anakabiliwa na hali ngumu kimaisha. Sozigwa, ambaye kwa sasa anaumwa ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Alzheimer), anaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu, akisaidiwa na…
YUTONG yazindua basi la kisasa
Kampuni ya kutengeneza mabasi aina ya Yutong kwa kushirikiana na Benbros Motors Ltd, imezindua basi la kisasa lenye uwezo mkubwa ili kupunguza ajali za mara kwa mara. Akizungumza katika uzinduzi huo, Afisa Masoko, Albert Currussa, wa Benbros Motors Ltd anasema…
Kodi kikwazo cha uchumi
Serikali imetakiwa kuboresha mipangilio ya ulipaji kodi ikiwamo kuondoa tozo zisizokuwa za ulazima, ili kutengeneza mazingira rafiki kwa wawekezaji pamoja na kuepuka kupungua kwa mzunguko wa fedha. Akifanya mahojiano maalumu na JAMHURI, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro,…
Kiwanda cha Bakhresa chachafua mazingira
Maisha ya wananchi wanaoishi jirani na Kiwanda cha Bakhresa cha kuchakata matunda kilichopo katika Kijiji cha Mwandege, Mkoa wa Pwani, yapo hatarini kutokana na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda hicho. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wananchi hao wanasema maisha…