Category: Kitaifa
Sakata kesi ya ‘unga’ lachukua sura mpya
Wiki moja tangu kuchapwa kwa habari ya malalamiko ya Watuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya ‘unga’ aina ya heroin kuhusu kucheleweshwa kwa shauri wakidai linachukua muda mrefu kusikilizwa, limefumua mambo mengine. Taarifa zinasema kwamba shauri hilo lilitoka Mahakama ya…
Utata kifo cha Ofisa Uhamiaji
Kifo cha Ofisa wa Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Rukwa, Chris Kanyama kimeibua utata na uhasama ndani ya idara hiyo nyeti nchini. Vyanzo vya habari kutoka idara hiyo vinasema kwamba Kanyama kabla ya kifo chake kulikuwa na mlolongo wa matukio…
Walimu wanadai milioni 700 Nyerere University
Wafanyakazi na Wahadhiri wa Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), wameingia katika mgogoro na uongozi wa taasisi kwa kushindwa kuwalipa zaidi ya Sh. milioni 700 ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na posho. Pamoja na Serikali kupinga kwa nguvu…
JK alivyoiumiza nchi
Ukiwa ni mwezi mmoja tangu Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, ang’atuke kikatiba, duru za uchunguzi zinaonyesha kuwa kiongozi huyo aliliumiza Taifa kwenye nyanja nyingi. Wakati akiingia madarakani mwaka 2005, deni la Taifa lilikuwa Sh trilioni 5.5; lakini miaka…
Makachero 32 wapanguliwa Moshi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limewaondoa maofisa wake 32 kutoka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (CID) na kuwapeleka katika vitengo vingine. Wamehamishwa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kwenda kinyume cha maadili na mwenendo wa Jeshi hilo. Aliyekuwa…
‘Jangili’ Ojungu wa Arusha akamatwa
Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ngaramtoni, Arusha, alikamatwa Desemba 5, mwaka huu katika kile kinachoelezwa kuwa ni mpango wa Serikali ya Awamu ya Nne wa kukomesha vitendo vya ujangili. Pamoja naye, mtuhumiwa mwingine, Godfrey Sekito (God Mabita au God Mapesa),…