Category: Kitaifa
Z’bar pagumu – Cheyo
Mwenyekiti wa Taifa wa UDP, John Cheyo maarufu kama ‘Bwana Mapesa’, amesema suala la mwafaka wa urais Zanzibar ni gumu na halihitaji kuamuliwa kirahisi rahisi bila kutafakari. Badala yake Cheyo amesema kuna haja kwa viongozi kukaa kwenye meza ya mazungumzo…
Dk. Magufuli apukutisha viza ‘Wizara ya Membe’
Mwezi mmoja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, apige marufuku safari za nje ya nchi kwa viongozi nchini, maombi ya viza yamepungua kwa asilimia 90. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini ya kuwa Wizara ya Mambo…
Mizengo mgonjwa
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda anaumwa. JAMHURI limeambiwa kuwa Pinda ni mgonjwa kwa kipindi cha wiki mbili sasa, hali iliyomfanya asionekane hadharani. Si upande wa Serikali, wala familia yake waliokuwa tayari kueleza maradhi yanayomsumbua mwanasiasa huyo. Hata hivyo, watu walio…
Kikwete matatani
Ujasiri wa Rais John Magufuli, wa kueleza madhara ya safari za nje kwa uchumi wa nchi, umemwongezea umaarufu miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa wasafiri wakuu nje ya nchi alikuwa mtangulizi wake, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, anayetajwa kuwa ndiye kiongozi wa…
Jaji aamua kuipitia hukumu ya ‘kiaina’ Moshi
Kashfa inayomkabili Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Kilimanjaro, Joachim Tinganga, ya kutoa hukumu yenye utata kisheria kwa mshitakiwa aliyepatikaa na hatia ya kukutwa na mali ya wizi, imefikishwa hatua za juu za uongozi wa Mahakama. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi…
Ardhi yaitesa Wizara ya Nishati na Madini
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya nishati nchini, wamebainisha kuwa moja ya changamoto kuu zinazoikabili sekta hiyo hususan usalama wa nishati, ni upatikanaji wa ardhi kwa ajili ya uendelezaji wa miradi ya umeme. Changamoto hiyo na nyingine kadhaa zilibainishwa hivi…