Category: Kitaifa
Mkenda akerwa kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA mkoani Simiyu. Ameagiza wataalamu wote wa usimamizi wa chuo hicho ambao ni kutoka chuo cha ufundi Arusha waweke kambi…
UNWTO wakoshwa na vitutio vya utalii Ngorongoro
Wajumbe kutoka mataifa mbalimbali walioshiriki mkutano wa 65 wa shirika la utalii la Umoja wa mataifa duniani (UNWTO) uliofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 5 hadi 7 Oktoba, 2022 wametembelea Hifadhi ya Ngorongoro na kufurahishwa na uwepo wa vivutio mbalimbali vya…
Uzembe wa madereva wasababisha vifo vya Watanzania 3545
Na Willson Malima,JamhuriMedia, Dar Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya ajali ya kipindi cha mwaka 2020 hadi Agosti 2022 ambapo imesema kuwa kwa kipindi hicho kulikuwa na ajali 4589 iliyosababisha jumla ya vifo 3545 na majeruhi 58694. Hayo yamebainishwa leo…
Wananchi wamiminika banda la RITA kupata huduma
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha Wakazi wa Mkoa wa Pwani wamekuwa na mwitikio mkubwa wa kutembelea banda la Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali zikiwamo a vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na gazeti hili katika maonyesho…