Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Ukraine hapa nchini Mhe. Andrii Pravednyk, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ukraine Mhe. Andrii Pravednyk mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Slovak hapa nchini Mhe. Katarina Zuffa Leligdonova, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel Michael Lotem, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Israel Michael Lotem, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.

By Jamhuri