Category: Kitaifa
Taharuki sadaka ya kuchinja
*Mamia ya kondoo yachinjwa, wanafunzi shule za msingi walishwa nyama, wapigwa picha *Wazazi washituka, wazuia watoto wasiende shuleni wakidai ni aina ya kafara isiyokubalika *Mkuu wa Wilaya aingilia kati, aitisha kikao cha dharura Arusha Na Mwandishi Wetu Taharuki imewakumba wazazi…
Mwendokasi wanakufa na tai shingoni
Na Joe Beda Rupia Usipokuwa makini unaweza kudhani mambo ni shwari katika kampuni ya mabasi yaendayo haraka, UDART, ya jijini Dar es Salaam. Hakuna anayesema ukweli. Hakuna anayewasemea. Hakuna anayewajali. Wadau wamekaa kimya. Wamewatelekeza na wao wenyewe ni kama wameamua…
RC Hapi aongezewa makali
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Huenda panga pangua ya viongozi mkoani Mara ikaanza kuchukua mkondo wake kwa kasi. Ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuutembelea mkoa huo na kubaini upungufu mwingi, ikiwamo kutelekeza miradi ya maendeleo kwa kipindi…
Dk. Mwinyi ataka mabadiliko
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza haja kwa watendaji serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na serikali itekelezeke. Rais Dk. Mwinyi amesema hayo baada…
Mabadiliko makubwa mizani
*Malori ya mafuta yapunguziwa mizani *Hakuna kupima bandarini, yabakizwa 3 *Hofu ya mapato yaibuka, Waziri anena NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imefuta utaratibu wa malori ya mafuta yanayokwenda nje ya nchi kupimwa…
Mamlaka za nchi iokoeni Ngorongoro
Mwaka mmoja uliopita tulichapisha makala hii ya aliyekuwa mmoja wa wakurugenzi wa JAMHURI, Mkinga Mkinga – akishawishi mamlaka za nchi ziinusuru Ngorongoro. Maandishi yake yameendelea kuwa muhimu hasa wakati huu ambao tishio la kuiangamiza hifadhi hiyo ya kipekee duniani likiongezeka….