Rais Samia amaliza ziara yake Njombe,aingia Iringa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makambako wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi tarehe 11 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara Sawala-Mkonge-Iyegea km 40.7 Mkoani Iringa kwa kiwango cha Lami tarehe 11 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makambako baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegea km 40.7 Mkoani Iringa kwa kiwango cha Lami tarehe 11 Agosti, 2022.