Category: Kitaifa
Chaumma kuunda sheria matumizi ya akili unde
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeahidi kutunga sheria ya matumizi ya akili unde ndani ya siku 100. Kupitia ilani yake yam waka 2025/2030 kimesema sheria hiyo itakuwa kwa ajili ya maendeleo ya…
Jenista Mhagama awaahidi wananchi Kata ya Ndongosi neema ya miundombinu ya barabara
Na Cresensia Kapinga, JamuhuriMedia, Songea Mgombea ubunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenista Mhagama amewaahaidi wananchi wa kata ya Ndongosi, kuwa Serikali itajenga barabara ya zege kwenye maeneo korofi yenye miinuko na utelezi ili kuhakikisha barabara…
Mhagama asema Samia ameandika historia kumteua Nchimbi
Na Mwandishi Wetu,Jamhuri Media-Songea Waziri wa Afya na mgombea ubunge Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama amesema mgombea Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia ambayo haitafutika kizazi na kizazi kwa kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza. Amesema uteuzi huo ni…
Dk.Ndumbaro aomba ruzuku ya mbolea iendelee
Mgombea ubunge Jimbo la Songea Mjini, Dk.Damas Ndumbaro amemuomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan aendelea kutoa mbolea ya ruzuku Kwa wakulima. Amesema wakulima wanaomba ruzuku ya mbolea iendelee kwa sababu wameondokana na adha hiyo. Akizungimza…
CUF : Kupiga kura ndio njia pekee ya kumchagua kiongozi unayemtaka
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia…





