JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Rais Sambi amuomba Rais Samia amwokoe

#Miaka 3 sasa amefungiwa kizuizini chumbani #Anyimwa tiba, haruhusiwi kuona mkewe, watoto #Rais Azali Assoumani kichwa ngumu, awa jeuri NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Aliyekuwa Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi, amemwandikia barua Rais…

‘Happy Birthday’ JAMHURI

Jana Desemba 6, 2021 ilitimia miaka 10 tangu toleo la kwanza la Gazeti la JAMHURI lilipoingia kwenye orodha ya magazeti yanayochapishwa, kusambazwa na kuuzwa ndani na nje ya nchi yetu. Desemba 6, 2011 inabaki kuwa siku muhimu kwetu waanzilishi wa…

JWTZ kiboko

Dar es Salaam Na Aziza Nangwa Mkuu wa Majeshiya UlinziTanzania,Jenerali Venance Mabeyo, ameyataja mafanikio ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) liliyoyapata tangu lianzishwe Septemba Mosi, 1964. Mafanikio hayo ameyataja mjini hapa wiki iliyopita akitoa taarifa ya changamoto na mwelekeo…

Mnyukano Jiji, TARURA

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeingia kwenye mvutano mkali wa kimasilahi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu ukusanyaji wa tozo za maegesho batili (wrong…

Benki yazidisha uonevu kwa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baada ya gazeti hili la uchunguzi kuchapisha taarifa za benki moja nchini zinazoeleza kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo ana dharau, ananyanyasa na kufukuza wafanyakazi hovyo bila kuheshimu sheria za kazi wiki mbili…

Iwe shuruti kuufanya ukimwi kuwa historia

Kesho ni Desemba Mosi, siku ambayo imetengwa na kufahamika kimataifa kama ‘Siku ya Ukimwi Duniani’ ambapo kwa Tanzania maadhimisho hayo huratibiwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS). TACAIDS ilianzishwa Desemba 1, 2000 na Rais wa Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa,…