Category: Michezo
UKO WAPI USALAMA VIWANJANI?
NA MICHAEL SARUNGI Mamlaka husika zinapaswa kuhakikisha ubora wa viwanja kabla ya timu kuruhusiwa kutumia viwanja hivyo ili kudhibiti fujo na kuepusha matatizo yanayoweza kutokea kati ya washabiki na wachezaji. Wakizungumza na JAMHURI, baadhi ya wapenzi wa michezo nchini wamesema…
YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI
KIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kukwea pipa alfajiri na mapema ili kuwahi mechi yao dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa kombe la Azam Sports HD utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya majira ya saa 10 jioni siku…
MWENDO WA SIMBA SC KAMA TREN YA STANDARD GAUGE
USHINDI iliyoupata Simba,Jana Jumapili wa mabao 4-0 dhidi ya Majimaji, umeifanya timu hiyo kujikita zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 35. Simba imepata ushindi huo kwa mabao mawili ya John Bocco aliyefunga dakika ya…
SANCHEZ KAZINI LEO AKIWA NA UZI WA MAN UNITED
Alexis Sanchez. MANCHESTER United inatarajiwa kuwa uwanjani leo Ijumaa kuivaa Yeovil Town katika raundi ya nne ya Kombe la FA. United itakuwa ugenini kuivaa timu hiyo ya daraja la pili ambapo kuna mambo kadhaa yatakuwa gumzo juu ya mchezo huo….
Jose Mourinho Aongeza Mkataba Manchester United
Kocha Jose Mourinho akipongezana na Ed Woodward (kushoto) baada kuweka wino mpya. Kocha Jose Mourinho sasa ataifundisha Manchester United hadi mwaka 2020. Mourinho raia wa Ureno ameongeza mkataba huo wa miaka mitatu kwa mwaka mmoja zaidi. Pamoja na kwamba mashabiki…
WAZIRI UMMY AIPA SAPOTI KLABU YA AFRICAN SPORTS
Mwakilishi wa MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu,Khatibu Kilenga kushoto akimkabidhi unga nahodha wa timu ya African Sports ambapo kiongozi huyo alitoa mchele kg100,unga wa sembe kg…