JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOIVAA MWADUI LEO HIKI HAPA

Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii leo inatarajia kushuka dimbani tayari kuivaa timu ya Mwadui FC katika mechi ya Vpl itakayo chezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kuelekea katika mchezo huo…

RONALDINHO GAUCHO ATUNDIKA DALUGA RASMI

NGULI wa soka nchini Brazil ambaye ni mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia Balon d’Or mwaka 2005, Ronaldo de Assis Moreira maarufu kwa jina la Ronaldinho ametagaza rasmi kustaafu kusakata kabumbu. Kwa mujibu wa BBC, aliyethibitisha kustaafu kwa…

MZEE AKILIMALI:NITAPINGA YANGA KUMILIKIWA NA MTU MMOJA HADI KABURINI

Mwanachama mkongwe wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali, amesema kuwa ataendelea kupinga suala la ukodishwaji wa klabu hiyo hadi atakapoingia kaburini. Mzee Akilimali amedai kuwa amekuwa na bahati mbaya kwa baadhi ya wanachama na viongozi wa Klabu ya Yanga kutokana…

MHASIBU WA SIMBA KIKAANGONI

Shirikisho la soka Tanzania TFF imewapeleka kwenye kamati ya maadili viongozi wanne kwa kughushi na udanganyifu. Viongozi walioshitakiwa kwenye kamati ya maadili ni msimamizi wa kituo cha Mtwara Dunstun Mkundi, katibu wa chama cha soka mkoa wa Mtwara Kizito mbano,…

Alexis Sanchez Akamilisha Uhamisho Kwenda Manchester United

Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez amefikia makubaliano na Manchester United kwa ajili ya uhamisho wa Januari. Sanchez atakuwa amemaliza mkataba wake Emirates Stadium ifikapo mwisho wa msimu huu na Arsenal wanaaminika kuwa tayari kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa…

Liverpool Yaichafulia Manchester City

Liverpool imewazuia Manchester City katika jitihada zao za kumaliza msimu wa Ligi ya Uingereza bila kupoteza mchezo Jurgen Klopp amesimamisha utawala wa Pep Gurdiola Premier League, baada ya michezo 30 bila kupoteza mechi hata moja hatimaye hii leo Liverpool wamefanikiwa…